Aaron Ally (Dj Aaron Tanzania)Mratibu wa All-stars atudents awards akiongea katika kipindi cha Morning trumpet kuelezea tuzo hizo.
Alhamisi hii alialikwa kwenye kipindi cha morning trumpet cha azam tv kuelezea tuzo hizo zitakazofanyika jijini dar es salaam
Dj wa zamani wa clouds FM,,Aaron,yeye na team yake(Ms Chiku Lweno,Mwl. Danny Mtanga)wameanzisha tuzo walizoziita All-stars students awards,hizo tuzo zitatolewa kwa wanafunzi waliofanya vizuri o-level na A-level kwa Afrika Mashariki.
Aaron alisema Tuzo hizo zina dhumuni kuwapa hamasa wanafunzi wa shule za Afrika mashariki.Tuzo hizo zitztolewa kwa wanafunzi watakaofanya vizuri katika mitihani ya kidato cha nne na cha sita,pia waalimu husika ambao ni chachu ya wanafunzi waliofanya vizuri kwenye hayo masomo,tuzo hizo zitaangalia wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo ya kiswahili,hesabu,fizikia,kemia,bailojia na kiingereza.Mchakato huu wa tuzo utaanza katikati ya mwenzi wa sita pia itaangalia special talents,michezo na shule bora.
No comments:
Post a Comment