Sunday, 5 June 2016
TASAF:Yafanya uzindunzu wa awamu ya tatu kwa kaya maskini jijini Arusha
Mkuu wa mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda(kushoto)akimkabidhi mmoja wa wakazi wa mataa Terrat Mlimani,kata Muriet Jijini Arusha ukiwa ni mpango wa serikali ikishirikiana na wadau wa maendeleo kunusuru kaya maskini.
Mkuu wa mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda (kushoto)akimkabidhi mmoja wa wakazi wa mtaa wa Terrat Mlimani,Kata ya Muriet,Jijini Arusha banda la mifugo katika uzindunzi wa mpango wa serikali ikishirikiana na wadau wa maendeleo kunusuru kaya maskini.
u
Wakazi wa kata ya Muriet jijini Arusha wakimsikiliza kwa makini mkuu wa mkoa wa Arusha Felix Ntibenda.
Mratibu wa TASAF Jijini Arusha Tajiel Mahega akisoma taarifa kabla ya kaya zilizotambuliwa kukabidhiwa rasmi.
Sehemu ya kuku wa kienyeji waliokabidhiwa katoka kwa kaya maskini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment