Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Felix Daudi Ntibenda akiwasili katika eneo la Safari City kuona maendeleo ya mradi huo na kulakiwa na Meneja wa NHC Mkoa wa Arusha, James Kisarika. Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Kamati yake nzima ya Ulinzi na Usalama, wametembelea Safari City kuona maendeleo ya utengenezaji barabara za Safari City na ugawanyaji wa maeneo tayari kwa uzinduzi wa uuzaji wa viwanja Jumamosi tarehe 11/6/2016.
Mmoja wa viongozi wa kamati yake nzima ya Ulinzi na Usalama ya Arusha akisalimiana na Afisa Mauzo wa NHC, Mariam Chisumo wakati kamati hiyo ilipotembelea Safari City kuona maendeleo ya utengenezaji barabara za Safari City na ugawanyaji wa maeneo tayari kwa uzinduzi wa uuzaji wa viwanja Jumamosi tarehe 11/6/2016.
Meneja wa NHC mkoa wa Arusha, James Kisarika akimuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Felix Daudi Ntibenda ramani ya eneo la Safari City wakati kamati yake nzima ya Ulinzi na Usalama ya Arusha ilipotembelea Safari City kuona maendeleo ya utengenezaji barabara za Safari City na ugawanyaji wa maeneo tayari kwa uzinduzi wa uuzaji wa viwanja Jumamosi tarehe 11/6/2016.
Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Felix Daudi Ntibenda ukiwasili eneo la Tukio.
Meneja wa NHC mkoa wa Arusha, James Kisarika akimuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Felix Daudi Ntibenda ramani ya eneo la Safari City wakati kamati yake nzima ya Ulinzi na Usalama ya Arusha ilipotembelea Safari City kuona maendeleo ya utengenezaji barabara za Safari City na ugawanyaji wa maeneo tayari kwa uzinduzi wa uuzaji wa viwanja Jumamosi tarehe 11/6/2016.
Kamati yake nzima ya Ulinzi na Usalama, wakiangalia maendeleo ya Safari City kuona maendeleo ya utengenezaji barabara za Safari City na ugawanyaji wa maeneo.
Meneja wa NHC mkoa wa Arusha, James Kisarika akimuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Felix Daudi Ntibenda ramani ya eneo la Safari City wakati kamati yake nzima ya Ulinzi na Usalama ya Arusha ilipotembelea Safari City kuona maendeleo ya utengenezaji barabara za Safari City na ugawanyaji wa maeneo tayari kwa uzinduzi wa uuzaji wa viwanja Jumamosi tarehe 11/6/2016.
Meneja wa NHC mkoa wa Arusha, James Kisarika akimuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Felix Daudi Ntibenda ramani ya eneo la Safari City wakati kamati yake nzima ya Ulinzi na Usalama ya Arusha ilipotembelea Safari City kuona maendeleo ya utengenezaji barabara za Safari City na ugawanyaji wa maeneo tayari kwa uzinduzi wa uuzaji wa viwanja Jumamosi tarehe 11/6/2016.
Upimaji ukiendelea
Uchongaji wa barabara ukiendelea.
Upimaji ukiendelea.
Uchongaji barabara ukiendelea.
Jiwe linaloonyesha mojawapo ya mipaka.
Meneja wa NHC mkoa wa Arusha akimuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Felix Daudi Ntibenda ramani ya eneo la Safari City wakati kamati yake nzima ya Ulinzi na Usalama ya Arusha ilipotembelea Safari City kuona maendeleo ya utengenezaji barabara za Safari City na ugawanyaji wa maeneo tayari kwa uzinduzi wa uuzaji wa viwanja Jumamosi tarehe 11/6/2016.
Meneja wa NHC mkoa wa Arusha, James Kisarika akimkaribisha Diwani wa Mererani, Justin Nyari na wa Mateves, Robert Katara ilipotembelea Safari City kuona maendeleo ya utengenezaji barabara za Safari City na ugawanyaji wa maeneo tayari kwa uzinduzi wa uuzaji wa viwanja Jumamosi tarehe 11/6/2016.

No comments:
Post a Comment