Mtoto wa miaka minne amejinasiwa kisha kuvunjwa shingo na kutupwa kando kando ya njia wanaopitaa wanaotembea kwa miguu karibu na mfereji wa maji mita 50 kutoka nyumbani kwao anapoishi Arusha.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kamishina mkuu wa polisi wa jiji la Arusha Yusufu Ilembo, Tukio hili la kunajisiwa kwa mtoto limetokea Juni 20, mwaka huu saa 03:30 usiku kwenye makaburi ya Baniani kata ya unga limited.
Kaimu kamishina wa Polisi wa Jijini hapa Arusha jan alisema mtoto huyo ambaye kwa sasa ni marehemu alikuwa akicheza na wenzake nje kidogo ya nyumba yao na ilipofika saa 12:00 jioni kwa majibu ya marafiki zake (majina yamehifadhiwa) alifika mtu mmoja mwanaume mrefu,Kwa mujibu ya watoto hao mwanaume alikuwa amevaa suruali na kumwambia mtoto huyo amfate akamnunulie pipi na hapo ndipo alipomfuata mwanaume huyo na akurudi tena mpaka alipokutwa ameshauwawa kikatilii.
No comments:
Post a Comment